Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Dah nitakuwa lonely sana nitam- miss sana mbeba box wangu
 
Hatuna uhusiano wala mpango wowote, labda itokee tu... Valentina alitaka nimuazime chaja yangu ya simu. Tatizo nikimwazima anachelewa sana kuirudisha, kwahiyo nimemnyima. Mashahidi zangu ni Bonny na Raimundo

Hii ndio kisa na mkasa... au unasemaje mama, nimwazime au umeridhika na utetezi wangu??
zee la michepukooo!!!

yatakushindaaaa....!!!
 
Back
Top Bottom