HahahahaaaaaKizur kula na nduguyo usishangae nkaja kuweka mkuki mlangon

looooh moyo wangu jaman, naomba usukume damu tu maana nazimia eti.Asee hii kauli ya kizuri kula na mwenzako,nmecheka kama wewe ulivocheka tu ila angalia valentina asije akaweka mkuki on the day maana kwenye project yao unayoisikiasikia waliniomba niwatengenezee mkuki ila sijajua ni wa nini!.
Sasa wewe Asprin wako,STUNTER nae unamdanganya danganya,yule nanihii tena wako!looooh moyo wangu jaman, naomba usukume damu tu maana nazimia eti.
Moyo,moyo, moyo
nakupenda na naomba uache tabia ya kupenda bali fanya kazi yako ya kusukuma damu.
Naona unakonipeleka ni kubaya sana moyo.
nionee huruma moyo.
Ona kina Chachasteven wanaanza kufanya kazi ambazo zitatuumiza wote wawili
moyo sikia kilio changu eti(in mong'oo sound)
Hahaha,Moyooo!..Fanya kazi zako buana.looooh moyo wangu jaman, naomba usukume damu tu maana nazimia eti.
Moyo,moyo, moyo
nakupenda na naomba uache tabia ya kupenda bali fanya kazi yako ya kusukuma damu.
Naona unakonipeleka ni kubaya sana moyo.
nionee huruma moyo.
Ona kina Chachasteven wanaanza kufanya kazi ambazo zitatuumiza wote wawili
moyo sikia kilio changu eti(in mong'oo sound)
hahahahahahhaahhaha moyo wangu usimsikilize Valentina
sielewi kitu hapo ChachaUwii,muonee huruma.Mwambie polopole tu atakuelewa.
Hivi huo moyo unataka usukume damu kuelekea eneo gani la mwili?looooh moyo wangu jaman, naomba usukume damu tu maana nazimia eti.
Moyo,moyo, moyo
nakupenda na naomba uache tabia ya kupenda bali fanya kazi yako ya kusukuma damu.
Naona unakonipeleka ni kubaya sana moyo.
nionee huruma moyo.
Ona kina Chachasteven wanaanza kufanya kazi ambazo zitatuumiza wote wawili
moyo sikia kilio changu eti(in mong'oo sound)
Kote kote.Nawaza tu!.Hivi huo moyo unataka usukume damu kuelekea eneo gani la mwili?
wewe unapenda upande upi?Hivi huo moyo unataka usukume damu kuelekea eneo gani la mwili?
Basi umeshaelewa kumbe,sasa uo moyo ukitaka kufanya kazi zisizo zake ukabizishe kwangu ntaupa unachoki-deserve,sawa shemeji yangu mzuri?.sitaki kumsikia huyu kiumbe naona anataka moyo usukume vyote.
uwiiii ataniua huyu
Haelewi haraka huyu atiUwii,muonee huruma.Mwambie polopole tu atakuelewa.