Halafu fanya tuonane giza likikolea tufanye ile projectBaby huo ni mfano tu ametoa lakini sio kweli, hata umuulize Chachasteven na Valentina atakwambia... Labda kwavile mi na valentina tuna project ya kikazi
Usijali, nipo available kwa kazi anytime.Aaaah kudadeki hahah... Wee mkalimani utanifaa sana kwenye dili zangu za hela, hahaha
Heri ya siku ya kupendana
NitakutafutaUsijali, nipo available kwa kazi anytime.
Mapepo yako yote yatatoka leo. Lazima unene kwa lugha, hata kama kwa kutumia kitoa upepo chako.Uache kujiombea uniombee mimi!! Kwakweli niache tu nijiombee usije nihamishia na mabalaa yako.
Eh.... Yamekuwa hayo tena
Nimeshahamia jukwaa la wakubwa. Kule natumia ID nyingine... siitaji kwa leo.Anakimbiza mwizi kimya kimya mzee mwenzangu jiangalie very soon kitanuka