Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Mapepo yako yote yatatoka leo. Lazima unene kwa lugha, hata kama kwa kutumia kitoa upepo chako.
Mapepo yako yamekushinda tena ndio yanazidi kurundikana hadi nawe wakaribia kuwa pepo utaweza kutoa ya wenzio!!

Tokaaaaa pepo mchafu!!!
 
Nimeshahamia jukwaa la wakubwa. Kule natumia ID nyingine... siitaji kwa leo.
usihame ngoja miye ntoke...
nsije kupeperusha njiwa buree....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mie na ndugu yangu hapa roho zetu nyeupe tuko busy na rule namba 3 wenyewe hatupat shida
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
hebu shika adabu yako weye..........
 
Kwanza kabisa upe maneno kuntu huo myo kama haya
16230111_386196151733364_3411212461280329728_n.jpg

uwiiiiii, nitalia na nani mie. Kwa hiyo Vale ndo kakudanganya mie shosti yake? mlikuwa wapi hadi muongee hayo maneno mingi mingi hivyo?

Numbisa njoo my dear nisaidie sitaki kina Raimundo na Bonny wanisaidie kabisa maana naona lao moja.

Please njoo haraka maana moyo umeshaanza kusahau kazi yake.
 
Back
Top Bottom