Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii

Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii


post #51 sorted.

...lol...hapana bana, namaanisha najipa muda kumjua mtu than 1st appearance...he he
rihanna_without_make_up.jpg
...ila huyu kwa mtazamo wa kwanza tu najua ni mjeuri, ona kimdomo chake!


I am impressed with 51... Impressive results sasa...

Na hio picha ya Rihana, perfect... Of coz haka kabinti ujeuri umo

Hizi pesa ndefu za utoto hizi wewe acha tu! Mtu mzima mwenyewe inakujenga kiburi!

But hata hivo bad enough.... she is the type of gal you would still worship!

Hata Wycleaf hawezi bisha hilo.... lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hii kitu imenikumbusha nisha wahi itwa ofisi moja nikiwa msibani kati kati ya shuguli za sie akinia mam... Huyo nikachomoka na kuenda moja kwa moja katika hio ofisi kubwa hapa mjini... Well kufika hapo huyo dada alinipokea kwa pozi mno kana kwamba she is doing me a favour, kisa nimevaa Dera na vilemba... The next time (a week later in fact...) nikaenda ofisi hio hio kwa dada yule yule (nikiwa nimevalia kimjini mjini...).... alivyonipokea/ku smile na ile ya slight kunyanyuka as if her world revolved around solving my problem.... Yaani alikua amenisahau kabisa kua ndie yule ali mistreat just a week before.... yaani hata sikuangaika kumkumbusha....
Umenikumbusha tukio moja lilimkuta my all time hero Bob Marley akiwa kwenye kiwanja kimoja cha ndege huko Marekani;Aliingia uwanjani hapo na kumkuta miss amerka amekaa,Bob alimsalimia miss yule lakini hakuitikia,mwanaume hakujali akaenda zake kusubiri ndege,ghafla watu wakajaa kumuangalia Bob pamoja na kupiga nae picha,yule miss kuuliza kulikoni akaambiwa huyo ni Bob akashangaa,ndipo akadai alikuwa hamjui kwa sura(alidanganya)ndipo aliomba aonane na Bob,Bob alipoambiwa akasema nilimsalimia mimi kama binadamu wa kawaida hakuitikia sasa kaona umaarufu wangu ndo ananiona wamaana?Nitaonana nae nikija tena lakini sio leo kisha Bob akachapa lapa!!!!
 
I am impressed with 51... Impressive results sasa...

Na hio picha ya Rihana, perfect... Of coz haka kabinti ujeuri umo

Hizi pesa ndefu za utoto hizi wewe acha tu! Mtu mzima mwenyewe inakujenga kiburi!

But hata hivo bad enough.... she is the type of gal you would still worship!

Hata Wycleaf hawezi bisha hilo.... lol

Nimeangalia pua zake sijaona kama ana ujeuri. Unajua watu wajeuri wana pua zimebinuka juu...
 
Na mara nyingi mtu analazimika kuwa mjanja kutokana na shida anazokutana nazo. Dar kuna shida nyingi sana?


Nilizungumzia hivo sababu sipo Dar....

Mbu naona na wewe ushaanza kujudge book for its cover sasa
Kimdomo tuu umeshamjua ni jeuri

Umeona eeeh??? lol Lakini toka mwanzo aligusia kua haiepkiki ina kua nurtured toka utoto.....



Alafu maHB wengi hawawezi kazi... ?


Asante... lol

Bora aise kuwa mbali na shari kama inaepukika

Sitaki kabisa kuwekwa Sentensi moja na Paw.....lol
 
Magulumalu naona tu wanitafutia BAN hapa....lol... Sio kweli bana ila tu wale viti maalum..... mmmmmh!!!
BAN upigwe kwa kosa gani? Kwani uongo? Kaupata koz he is handsome for real, and in addition to that inasemekana 100% kubwa ya kura zake alipewa na wanawake.
 
Umeona eeeh??? lol Lakini toka mwanzo aligusia kua haiepkiki ina kua nurtured toka utoto.....

Tena aliweka msisitizo kabisa ila naona karudi kule kule kuwa sometime u can do that

Muonekano wa nje ukawa umejustfy kila kitu
 
Umenikumbusha tukio moja lilimkuta my all time hero Bob Marley akiwa kwenye kiwanja kimoja cha ndege huko Marekani;Aliingia uwanjani hapo na kumkuta miss amerka amekaa,Bob alimsalimia miss yule lakini hakuitikia,mwanaume hakujali akaenda zake kusubiri ndege,ghafla watu wakajaa kumuangalia Bob pamoja na kupiga nae picha,yule miss kuuliza kulikoni akaambiwa huyo ni Bob akashangaa,ndipo akadai alikuwa hamjui kwa sura(alidanganya)ndipo aliomba aonane na Bob,Bob alipoambiwa akasema nilimsalimia mimi kama binadamu wa kawaida hakuitikia sasa kaona umaarufu wangu ndo ananiona wamaana?Nitaonana nae nikija tena lakini sio leo kisha Bob akachapa lapa!!!!

aaiiseee Bob itakua ilimboa saaana.... Jamaa alikua anapenda wanawake wazuri huyo....lol

Mpaka kukataa kuonana nae?? kweli he was pissed off!!
 
aaiiseee Bob itakua ilimboa saaana.... Jamaa alikua anapenda wanawake wazuri huyo....lolMpaka kukataa kuonana nae?? kweli he was pissed off!!
Mahali pa heshima ni heshima tu!Mambo mengine baadae,kama niko sawa huyo ndo mama yake Damian Marley!!
 
Mbu naona na wewe ushaanza kujudge book for its cover sasa
Kimdomo tuu umeshamjua ni jeuri

...lol...la hasha,...lakini huyu nashindwa kuzizuia hisia zangu,...she's too cold aisee,...ona macho yake! dahh...
yaani hapa unauhakika ukisalimia kinachofuatia ni "...mnxxxxxxxxxxxiiiiiiiiii!" (mfyonyo!)


I am impressed with 51... Impressive results sasa...

Na hio picha ya Rihana, perfect... Of coz haka kabinti ujeuri umo

Hizi pesa ndefu za utoto hizi wewe acha tu! Mtu mzima mwenyewe inakujenga kiburi!

But hata hivo bad enough.... she is the type of gal you would still worship!

Hata Wycleaf hawezi bisha hilo.... lol

Daahhhh, hapana kabisa. Kasura kake kananichefua, with make up or without.
Back to Topik...

Naamini wengi wenu mshapata bad experiences pale Dar Airport,....wakati wa check-in...jamaa watakupekua passport weee as if umefoji Viza,...na siku ume land, Jamaa wa Customs watakupekuwa weeeee as if umebeba unga!...dawa yao ni kuwa smart na kuongea ung'eng'e au nini?

Bahati nzuri sijawahi pata bad experiences [sijui ni hiki kitambi na upara?], lakini huona wenzangu wanavyosumbuliwa aisee, aaahh..
 
siku ingine ukinisaka umuombe wifi yangu anistue,lol!well,kwa mawazo yangu,niliwahi kusema hapa kuhusu kuvaa high heels kuongezea flava kwenye muonekano. i think its all about how u carry urself around.kama ukivaa sura ya kujiamini hata kama hauko mzuri kiviile utapata attention.inafurahisha kuona ukiwa tofauti na watu wangevyotegemea uwe kutokana na nafasi yako,wanaishia kudhania kuwa wewe sio mtz na kukuabudu tu! if u command respect and attention u will get it where u deserve it. well,hata kama muonekano wangu ni tofauti interms of urembo ama mavazi i will demand my well deserved attention na patachimbika! just dont outdo urself usije ukawa too out of place,bt be urself,who cares!
Natamani mawazo ya mama nyumbakubwa,king'asti na mchungaji Masanilo!We need their thought!!
 
mbu,hapo airport tena wakileta kiswahili chao unawasha moto wanakuwa wanaogopa na kuanza kukuambia kama nakujua vile....
its all abt commanding the respect u want,i tell u! kha!
 
Naomba nisamehe kwa kukukwaza.... BUT katika hilo kundi la walimu nilozungumzia sikuku consider kabisa maana ungekua na hizo tabia wala usingegusia katika post yako ya awali kua hupendi.... Ni kwamba tu nilieleza my genuine view ya mawazo yangu juu ya hao walimu majority... Thus I AM SO SORRY.... Hata hivyo bado nasimamia amani yangu kua wengi wako hivyo....Hapo nilipo color.... hayo ni maoni yako sabau una utu na you understand madhara na hatari yake..... Mimi na wewe twaelewa Wazi kua wapo wengi wanachukulia advantage ya hio age.... acha tu wa form 4 ambae ndo kakomaa kabisa katika hio sector na anashindana na watu wazima - nafikiri ndio hata tangazo la FATAKI ilisukumwa na hio ya underage children kuji indulge katika Sex tokana na vishawishi vidogo vidogo.... It is Sad kweli .... Na hao wanao wapa penzi wa Standard 6-7 ndio huwaaribu kabisa hawa watoto Psychologically - bora hata kwa mabinti, But mtoto wa Kiume, yaani his Psychology mara nyingi totallly distroyed in the sense of life, kujitum, mapenzi and outlook in genera....
Adi nimekuelewa, bt acha nipingine na wewe hapa unaposema hao std 6-7 bora hata mabinti bt isiwe kwa boys.Kifupi both wanakua psychological affected bila kuangalia jinsia zao!Na hii inakwenda mpaka kwa hawa ninaofundisha mimi yani wa sec, unakuta smtym mtoto mwenyewe akawa anakutongoza bt ukifikiria madhara ya tendo hilo kwa mwanafunz ni makubwa.Labda ni hitimishe tu kwa kusema kwamba utanashati,mavazi na muonekano ni jambo la muhimu na la lazima bt kwa baadhi ya kazi kuna matatizo yake na ndio hayo nilikwisha kueleza page # 4.
 
mbu,hapo airport tena wakileta kiswahili chao unawasha moto wanakuwa wanaogopa na kuanza kukuambia kama nakujua vile....its all abt commanding the respect u want,i tell u! kha!
Bora nimekuona!Inaonekana ulikua bize!Karibu!
 

Daahhhh, hapana kabisa. Kasura kake kananichefua, with make up or without.
Back to Topik...

Naamini wengi wenu mshapata bad experiences pale Dar Airport,....wakati wa check-in...jamaa watakupekua passport weee as if umefoji Viza,...na siku ume land, Jamaa wa Customs watakupekuwa weeeee as if umebeba unga!...dawa yao ni kuwa smart na kuongea ung'eng'e au nini?

Bahati nzuri sijawahi pata bad experiences [sijui ni hiki kitambi na upara?], lakini huona wenzangu wanavyosumbuliwa aisee, aaahh..


Hapa tuko pamoja Mbu.... sijawahi pata matatizo sehemu za Customes... ingawa
sijui kwanini wengine wanawafanyia.... hivo... I think ni something to do with looks...lol

Kwa mfano kuna moja ya inchi hapa karibu.... wasubufu ile mbaya... What i do - ni kupita kama vile niko so busy....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
siku ingine ukinisaka umuombe wifi yangu anistue,lol!well,kwa mawazo yangu,niliwahi kusema hapa kuhusu kuvaa high heels kuongezea flava kwenye muonekano. i think its all about how u carry urself around.kama ukivaa sura ya kujiamini hata kama hauko mzuri kiviile utapata attention.inafurahisha kuona ukiwa tofauti na watu wangevyotegemea uwe kutokana na nafasi yako,wanaishia kudhania kuwa wewe sio mtz na kukuabudu tu! if u command respect and attention u will get it where u deserve it. well,hata kama muonekano wangu ni tofauti interms of urembo ama mavazi i will demand my well deserved attention na patachimbika! just dont outdo urself usije ukawa too out of place,bt be urself,who cares!



ha ha ha.... my wii... knew huwezi niangusha... maana Eiyer was crying for you.....lol

Naona karidhika sasa.....
 
Adi nimekuelewa, bt acha nipingine na wewe hapa unaposema hao std 6-7 bora hata mabinti bt isiwe kwa boys.Kifupi both wanakua psychological affected bila kuangalia jinsia zao!Na hii inakwenda mpaka kwa hawa ninaofundisha mimi yani wa sec, unakuta smtym mtoto mwenyewe akawa anakutongoza bt ukifikiria madhara ya tendo hilo kwa mwanafunz ni makubwa.Labda ni hitimishe tu kwa kusema kwamba utanashati,mavazi na muonekano ni jambo la muhimu na la lazima bt kwa baadhi ya kazi kuna matatizo yake na ndio hayo nilikwisha kueleza page # 4.


Mpatanishi umenifurahisha msimamo na mawazo yako kuhusu na underage hawa

Kikubwa naomba muwe mnakumbusha na hao wachafuzi... Enways nimekubali saana

mawazo yako and really appreciated.... and THANK YOU for the feed bak....
 
Umenikumbusha vituko vya mdogo wangu; yeye tabia yake ni kutoongea kiswahili akienda ofisi za watu anaojua ni wasumbufu. Basi wanababaika kuwa yeye ni foreigner na wanampa huduma faster. Hata kwenye simu nimeshajaribu kutumia kiinglish na sijawahi pata tabu ya kuwa connected na bosi ninaowahitaji. Ongea kiswahili uone. Nadhani wabongo tuna tabia ya kubabaikia foreigners pia. Utanashati peke yake wala haulipi kwani ukawii kuchuniwa na masecretry wa ofisi unayotembelea; wewe piga ngeli tu na usichanganye na kiswahili kwani wakikushtukia kuwa unawazingua utaona cha moto. Hii ni nzuri kutumia kwa masecretary ukifika kwa bosi mwaweza endelea na lugha ya taifa.
 
Back
Top Bottom