Bora nimekuona!Inaonekana ulikua bize!Karibu!
..........
Sasa basi hata nguo ya kitenge nilikuwa sina..........ikabidi nikaazima nguo ya mama, nikavaa kiafrica na kiremba juu mtoto wa kike. Nilikutana na watu wengi wamevaa suti, u know what?? Kati ya wanawake tuliokuwepo pale mimi nilipata ile kazi japokuwa umri ulikuwa mdogo.
Hili suala la vitenge hili wewe ni third person na pata direct testimony..... I believe it
is something inatakiwa iwe seriously considered by most hasa wanaotafuta kazi...
...
hahahhaha MJ1Uzuri:
- Katika hili kusema ukweli nadhani kuna makosa yanayofanyika kwa kumpatia mtu upendeleo kwa kigezo hikli (Na ni kweli inafanyioka sana tu na mfano mzuri ni hao wabunge). Yaani kwa kuangalia uzuri wa mtu tu basi unambebesha na sifa nyingine asokuwa nazo!! Hii inatucost sana kimaendeleo. Lakini pamoja na hayo labda ningependa kujua definition tuliyoitumia ya Uzuri......
umenikumbusha miaka mingi ya nyuma.ATC walitangaza kazi za air hostess.Wasichana walijimwaga na mishebeduo. Wakat wanasubiri kuingia kwenye interview, msichana mmoja alidiriki kuwaambia wenziwe " mimi na shepu yangu kweli nitakosa kazi?"...kwa miaka ya sasa nadhani uzuri wa sura/mwonekano bila kitu kichwani haulipi sana!Hizi ni zama za lipsticks and brains! Labda kama kazi yenyewe haihitaji kutumiakili hata kidogo!
Uzuri ni kama the way umedefine hapo juu... ambao katika jamii kwa kweli ni wachache mno... mtu mzuri akiongeza na urembo, kaka/baba zetu hishia kumsifia mzuri kama Malaika, au nasie akina dada kaka/baba akiwa hivo huishia kumwagia masifa kedekede... However katika jamii yetu hasa mijini wadada wazuri pia na wakaka wamekua wengi mno! Haijalishi kua wamenunua huo urembo, But end result ni kua wana mvuto na unatamani uendelee kuwaangalia tu... Hivo hapo kwenye purple hapo nakuunga mkono kabisa!!!
.Hii paragraph above hasa nilipo bold, observe saana... Wadada (afadhali wakaka...) ambao since ni watoto wanasifiwa saana kua they are beautiful they tend to bweteka a lot...
Hapo kwenye bold Ashadii...nadhani umesema kitu kizuri sana. Wazazi nao wanachangi kwa ubwetekaji huu ? na Je wazazi wanapomsifia mtoto wao waliomzaa wanatarajia nini?
Ni heri binti ambae alikua wa kawaida then kaja kua mzuri ukubwani via urembo of course.... HOWEVER Ukipata binti ambae yuko very bright na intelligent and she is super beautiful- She goes places na anakua achiever ile mbaya!!
Hili neno Shosti wangu! Najua umewahi kuusikia usemi kuwa ukiwa na uwezo wako utakuwa mrembo tu.Uwezo utaupata kwa kujitengenezea future - kusoma kwa bidii na kufanya kazi kwa bidii.
Kuhusu utanashati... ina apply saana kwa wakaka for them hatuwezi waita Warembo... Si unajua ile type of a guy he is not handsome but mvuto wake mkubwa is a result ya utanashati alonao....lol... En ways... Napenda your last paragraph.... Mdada mzuri yeyote yule huchukuliwa gari kahongwa... (which is very bad - thou in most cases true....) Na kuhusu kuoa.... Kaka yangu anasema hawezi kuja oa a very beautiful lady... anataka tu awe kawaida...
Hapo kwenye bold , hebu nipe somo maana wengine kiswahili ni lugha ya tatu au ya nne... utanashati ni sawa na urembo? Najua mkaka hawezi kuwa mrembo lakini nilidhani msichana anaweza kuwa mrembo na mtanashati. Nijuze mwaya.
Thank you for such an insightful post....
nijuavyo good looks zinauzika sana...................na ndiyo maana kuna usemi usemao...............chema chajiuza na kibaya chajitembeza....................tatizo letu la mwanaadamu wa kawaida tunapima watu kutokana na maumbile yao............................kama ana mvuto atapewa kipaumbele na baadaye ndipo tabia yake itagundulika..................................we judge according to appearance but not according to the character...................................we are very weak yeah...................................you can say that again and again.......................
yule ambaye ananyanyapaliwa.................................basi afunde mate tu.....kwa sababu ushahidi si rahisi kupatikana
Hii paragraph above hasa nilipo bold, observe saana... Wadada (afadhali wakaka...) ambao since ni watoto wanasifiwa saana kua they are beautiful they tend to bweteka a lot.... mengi yanafanywa out of obligation... kwenda shule/college/University and the like.... yaani hawi Hardworking for ana experience ilo kua nurtured toka utoto wa kupendelewa na kuonewa huruma.... Ni heri binti ambae alikua wa kawaida then kaja kua mzuri ukubwani via urembo of course.... HOWEVER Ukipata binti ambae yuko very bright na intelligent and she is super beautiful- She goes places na anakua achiever ile mbaya!!.
Watu wanadharau vitenge lakini vinalipa ile mbaya lol.Ndio maana mama zetu waliwekeza humo!
Siyo wengi wanalijua hilo hadi waambiwe. Natumaini somo litakuwa limeeleweka. Serikali imehangaika weee kutafuta vazi la taifa.Ila mwisho wa siku Kitenge kinalipa. Shona upendavyo mradi kiwe "kiheshima" zaidi na siyo capri pants au backless utinge nacho kwenye interview!
Hapo kwenye bold Ashadii...nadhani umesema kitu kizuri sana. Wazazi nao wanachangi kwa ubwetekaji huu ? na Je wazazi wanapomsifia mtoto wao waliomzaa wanatarajia nini?
!
Hapo kwenye bold , hebu nipe somo maana wengine kiswahili ni lugha ya tatu au ya nne... utanashati ni sawa na urembo? Najua mkaka hawezi kuwa mrembo lakini nilidhani msichana anaweza kuwa mrembo na mtanashati. Nijuze mwaya.
!
beauty and brains dont see eye to eye, i thought it was natural,lol
very strange unakuta siku hizi watoto wadogo wanasema eti hampendi mtu aliyeko hivi au vile,tena mbele ya wazazi wao! uko sahihi AshaDii, kumfanya mtoto awe aware with her looks kunamfanya anasahau hata inner beauty. iwhen i was growing up i never though of myself as ulgy or beautiful hadi vivulana vikiniambia kitu navishangaa. nadhani pia inajenga confidence ya ndani. u ar more than what u look. unahitaji ku-prove a point na ku-command authority hata kama hujavaa vizuri. japokuwa jamani kuna vaa nyingine, mtu aningia ofcn kwako unaangalia location kwanza ya ki-simu cha tochi chako. some ladies dress up like hookers ( i am seating across one in a public place,hehehe)
unaweza usiwe mzuri ila usmart wako ukakutoa yaan kuna watu wanaibuka kazini kama wameto ka shimoni,mtu kama huyu hata kuorganise kazi zake ni ishu,usmart mzuri sna hata kikao cha harusi wanakimbilia kukupa uweka hazina hahahahahahaa!
Teh,teh,teh,teh.......Grisi ya kichinaaaa!hahaha,usijali mwaya. wajua tena gurudumu la maendeleo grisi ya kichina,unasukuma na nguvu mara mbili yake. uko sawa eeh?:typing:
Du wewe Rejao, yaani sisi weusi , tena weusi tii kama mimi-mpaka nakaribia weusi wa deep blue, hatuwezi pata kazi benki?
Naweka picha ya GF wangu ambaye vile vile ni blue black-isnt she a beut at first impression?
![]()
Huyu binti.... genuinely speaking..... Dah!... Na hio naturality yake na kipara na
her general uniqueness ndio ilimtanya awe international model... But otherwise... mmmh!!
HII NDIO "COMMODIFICATION" ya binadamu! Inalipa lakini....
..........Hapo kwenye nyekundu kumenikumbusha mbali sana, kazi yangu ya kwanza niliipata baada ya kumaliza form 6...........hata CV nilikuwa sina tena ni kazi ya kimataifa. Basi nikapewa ushauri jinsi ya kuvaa kwenye interview.........nikaambiwa kwa kuwa una umri mdogo hapo nilikuwa na 19 basi natakiwa kuvaa kiafrica zaidi ili nionekane nipo serious.
Sasa basi hata nguo ya kitenge nilikuwa sina..........ikabidi nikaazima nguo ya mama, nikavaa kiafrica na kiremba juu mtoto wa kike. Nilikutana na watu wengi wamevaa suti, u know what?? Kati ya wanawake tuliokuwepo pale mimi nilipata ile kazi japokuwa umri ulikuwa mdogo.
Hili suala la vitenge hili wewe ni third person na pata direct testimony..... I believe it
is something inatakiwa iwe seriously considered by most hasa wanaotafuta kazi...
Maana kumaliza form six with no CV and then upate kazi sio lelemama bana...
Really Impressive.... Thank you Pretty....
AishaDii
Thank you for this very, very useful thread
Kusema ukweli umegusia jambo zuri sana, hasa ulivyotoa mifano ya hao wabunge wawili. Mh kwa kweli inasikitisha. Nitachangia kidogo tu maana Tanesco wameniazima nusu umeme!! sitaki deni mie!
Uzuri:
- Katika hili kusema ukweli nadhani kuna makosa yanayofanyika kwa kumpatia mtu upendeleo kwa kigezo hikli (Na ni kweli inafanyioka sana tu na mfano mzuri ni hao wabunge). Yaani kwa kuangalia uzuri wa mtu tu basi unambebesha na sifa nyingine asokuwa nazo!! Hii inatucost sana kimaendeleo. Lakini pamoja na hayo labda ningependa kujua definition tuliyoitumia ya Uzuri......kama ni ule wa asili (sijui ndo sawa na urembo?!) ambao mtu hauchakachui, kama ni mzuri, ni mzuri tu.....apale matope au poda ni mzuri. Haijalishi kama kichwani ni safi au la sehemu nyingine za kazi, huduma atapata huduma,kazi kisa ni mzuri (Hii kwangu imekaa kinyanyasaji nyanyasaji vile- mtu anakuthamini wewe kwa uzuri wa sura!!)
- lakini kwa upande mwingine uzuri wako unawezakukunyima wewe kitu, huduma au kazi nzuri! au ikakunyima wewe mzuri kufulfill adhima yako ya maisha!! Mfano ushasema wasichana wazuri wanakuwa wabunge- no one will believe kuwa umeteuliwa kiuwezo (kama ni wa kuteuliwa) au kama ni oficn umepandishwa cheo kiuwezo (unless kuna achievements zinazoonekana kutokana na uwezo wako). wengi watahisi uzuri ndio umekuweka hapo ulipo. Hii mara nyingi unawezajikuta unaghairi (kama nia yako ilikuwa ni kuwa mbunge- kama huwezigombea) basi hata kwenye siasa utaogopa kuingia ili kuepusha ikitokea umeteuliwa watu watasema ni uzuri!!!
Utanashati: Hili sina experience nalo inakuwaje hasa, yaani unapata huduma, kazi, kiupendeleo kwa kuwa u'mtanashati au?'
Sometimes nawaoneaga huruma wadogo zetu/wadada walio wazuri......sometimes wanatafsiriwa vibaya.mf. ukimwona mdada mzuri anaendesha gari zuri barabarani, kitu cha kwanza kuja kichwani ni.....c'mon what do you expect kwa msichana mzuri kama yule' implying that lazima kuna pedejee kajipinda!! Au ule usemi wa kina kak wengi wa mwanamke mzuri si wa kuoa! unajitafutia presha tu.....as if mwanamke mzuri hawezi kuwa mke mwema! Mahusiano!! mwe
Du wewe Rejao, yaani sisi weusi , tena weusi tii kama mimi-mpaka nakaribia weusi wa deep blue, hatuwezi pata kazi benki?
Naweka picha ya GF wangu ambaye vile vile ni blue black-isnt she a beut at first impression?
![]()
WoS... inalipa in rare cases... huyu binti alikua na nyota yake tu... But the majority inawa COST!!
Amini usiamini.... just look at her properly alafu mplace mtaani TZ kwetu....
Asha,
Unanipeleka level nyingine kabisa ya kufikiria kuhusu maisha ya binadamu! Mungu ana makusudio na kila mtu kwa namna ya pekee kabisa. Huyu binti aliyekuwa mkimbizi akiishi maisha magumu aliweza kuinuliwa na kupewa maisha mengine tofauti kabisa. Si ajabu angekuwa anaishi maisha mazuri kwenye mazingira mazuri asinge stand out akaonwa miongoni mwa wengine!
Now that's the thing.... mtu kama an individual faith yake iko wapi??
anajithamini kiasi gani?? anajiamini kiasi gani?? Na fate yenyewe imemuandalia nini??
All this things ina count saana kwa wale ambao wanakuja onesha GREAT impacts
katika jamii at a national or international level.... Na mimi personally naamini saaaana
kua katika maisha nyota zimezidiana na kwamba wengine ni wasindiikizaji whereas
wengine kweli waliletwa waishi hata kama their lives are brief... and on that i add that
kama mmoja wa hao wanadamu nyoota yake hafifu na mwingine ni bora zaidi, janga
linapotaka kumkuta mwenye nyota kali linaishia kumdhuru mwenye nyota dhaifu....
kama vile yule alo dhuriwa alizaliwa kumprotect yule alopona....
Naona nimechanganya.... Sijui umenipata??
Adding on kwa huyo binti... she is an exceptional example... unbelievable....
AshaDii,
U R EXCITING ME! Unaonaje tuanzishe topic nyingine on this ili tusivuruge hii maana nayo ni kuntu!
Best, nakuomba uanzishe thread specific inayoakisi hapo kwenye bold...ili tujadili maana nami nina mengi on that.
I DARE YOU LOL!
Hivi u smart wa mtu una relation na u smart wa kazi zake kwa maana ya uchapakazi? Nilienda ofisi moja nikakuta jamaa ametandaza mafaili meza yooote mpaka pa kuandikia hamna; afu sasa kwenye meza ake kuna kibao kimeandikwa maneno ya kidhungu ambayo siyakumbuki exactly yalivyooandikwa (next time ntaenda na notebook niyacopy) ila yalikuwa yanafagilia kuwa watu effective hawapangi meza yaani ukiona mtu ana meza rough jua ni mchapa kazi. Maneno yalinifariji sana because I am one of them!
ha ha ha... I see it is your turn kutumia the line eeeh??
Ila kweli interesting subject... will have to write on it... then tujadili in detail hasa!!
And you saying una mengi... i am forever holding you on that for i neva forget...lol