Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,886
Ombi Kwenu wana JF…
- Naomba tujaribu jadili nini hasa chaweza changia kumpandisha alie Mzuri/Mrembo/Mtanashati.. kuhudumiwa haraka, kupendelewa/kubebwa ama kuthaminiwa hali hicho ambacho anakua favoured hata Yule ambae sio Mzuri/Mrembo/Mtanashati anaweza provide…
- Ikiwezekana tushee experience mbali mbali katika maeneo/insitituions mbali mbali ili kupata picha kamili ya sula zima liko kwa kiasi gani….
- Mtu unapojikuta katika hio hali ya kunyanyapaliwa…. Ufanye nini??
Natanguliza Shukrani…
Pamoja Saaana…
AshaDii (ADI)
...AshaDii, kwa muonekano wangu mzizi wa fikra hizi ni tangu wadogo mtoto unapoanza kumfunda kwamba avae vizuri apendeze. Ukimkuza mtoto kupendeza ni jambo la kawaida, hata huko mbele ya safari halitakuwa jambo la ajabu. Lakini, iwapo kuvaa vizuri na kupendeza ni kiashiria cha sikukuu, mtoto nae atakuwa hivyo hivyo.
Vision, perception na judgements ni mambo tunayokuzwa nayo, hayakwepeki hata utu uzimani kuwa judge watu kwa muonekano wao wa nje hata kabla hujamsikia sauti, au ombi lake.
Mfano wa picha hii hapa chini,