Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii

Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii

Bana hii bora kwa wanawake.... Wanaume si wana mtindo huo wa kukufanya ujisikie Speacial...

Mdada wa watu confidence yaweza rise kwa attentiona ya mkaka (which of coz ni false....)

Kimbembe atokee mdada mrembo hapo.... ha ha ha... Anamsahau dada wa watu kabisa

kama sio yule alikua anamchekea hapo....lol... Yaani mbaya kweli....

Niliwahi kwenda ofisi fulani huko Dar (posta) ambapo nitaka kupewa data fulani. Mara ya kwanza niliulizwa maswali na mdada fulani aliyekuwa masjala, na akasema kuwa niende kuleta barua toka kwa boss wangu (Morogoro) ndipo niruhusiwe kuonana na boss wa hiyo ofisi. Mara ya pili nilienda na barua yangu nikakuta kuna watu wengi wanasubir kumuona yule boss, na nilipoulizia kwa yule dada, akaangalia haraka haraka barua yangu akasema haijielezi vizuri, na hata hivyo boss wao alikuwa na shughuli nyingi siku hiyo. Nili-note kuwa yule dada alikuwa hajaniangalia sana usoni. Nilikuwa nimevaa t-shirt. Nilipiga mahesabu ya kurudi tena hadi Moro, nikaona ni usumbufu mkubwa, so nitafute namna.
Nilitoka pale ofisini, nikaenda internet cafe fulani nikai-type ile barua kwa kiingereza, nikaiprint na kusaini sehemu ya boss wangu kwa sahihi ya kuforge.

Nilienda kwenye duka la kuuuza nguo, hapo hapo posta nikanunua shati na tai, na nikavivaa pale pale. Nilitoka nje nikazunguka nikaona jamaa anauza miwani, nikanunua moja plain (kama ya matatizo ya macho) nikavaa. Nilirudi pale ofisini baada ya kama saa moja, nikamkuta yule dada kama kawaida anahoji na kuwarudisha watu huku wachache wakiruhusiwa kumuona boss.
Nilianza kujieleza upya kwa yule dada lakni wakati huu nikitumia kiingereza. Yule dada alijaribu kujibizana na mimi kwa kiswahili, lakini nilijifanya sielewi, huku nikisisitiza natokea south africa, na nilijitahidi kuongea mambo mengi sana kumchanganya. Aliiangalia barua yangu, hata hakugundua kuwa haikuwa na muhuri, akaniambia 'wait there', na baada ya kama dk mbili akaniambia you can enter.

Nikachoma zangu ofisini kwa boss, nikalonga nae kiswahili. akanielewa akaniprintia data zangu nikatimua huku najisifu kuwa pamoja na ushamba wangu wa mikoani, leo nimefanikiwa kumuingiza mjini wa Dar.
 
Mbu hivi mimi ni Architecture nikienda site nimevaa suti kuna kosa kweli lol!!

8100167-a-foreman-in-a-black-suit-holding-a-blueprints-and-looking-towards-the-construction-site.jpg
...lol...hakuna kosa kabisa ndugu yangu, ila ukimkuta mjenzi wako kavaa suti, tai, na skuna huku anachanganya zege ujue umeliwa!
 
nakuunga mkono 100% nilishawahi kufika bank CRDB, nilihitaji huduma ya fasta, lakini wale wadada walikuwa wakiwahudumia zaidi majamaa fulani mahendisam, sio kwamba mi simo! But that day nilikuwa rough, nguo za ajabu ajabu, nywele sikuchana, uchangamfu na smile siku ile ilikuwa zero! Nikaona nachomeshwa mahindi nikawachanjia, kwanza nikamwambia akanichekia balance, hee! Alivorudi alikuja na bonge la tabasamu! Nakubali kabisa kuwa kuna PATIALLITY 100%

Hii kitu imenikumbusha nisha wahi itwa ofisi moja nikiwa msibani kati kati ya shuguli za sie akinia mam... Huyo nikachomoka na kuenda moja kwa moja katika hio ofisi kubwa hapa mjini... Well kufika hapo huyo dada alinipokea kwa pozi mno kana kwamba she is doing me a favour, kisa nimevaa Dera na vilemba... The next time (a week later in fact...) nikaenda ofisi hio hio kwa dada yule yule (nikiwa nimevalia kimjini mjini...).... alivyonipokea/ku smile na ile ya slight kunyanyuka as if her world revolved around solving my problem.... Yaani alikua amenisahau kabisa kua ndie yule ali mistreat just a week before.... yaani hata sikuangaika kumkumbusha....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ashadii una maana Kikwete naye alibebwa kuupata Urais kwa vile Hendisamu? hahaha acha utani wewe...

Magulumalu naona tu wanitafutia BAN hapa....lol... Sio kweli bana ila tu wale viti maalum..... mmmmmh!!!
 
Nikusaidie tu kujibu. Ndio... alichaguliwa kutokana na sura yake, tena kura nyingi alipata kutoka kwa wanawake...
 
Niliwahi kwenda ofisi fulani huko Dar (posta) ambapo nitaka kupewa data fulani. Mara ya kwanza niliulizwa maswali na mdada fulani aliyekuwa masjala, na akasema kuwa niende kuleta barua toka kwa boss wangu (Morogoro) ndipo niruhusiwe kuonana na boss wa hiyo ofisi. Mara ya pili nilienda na barua yangu nikakuta kuna watu wengi wanasubir kumuona yule boss, na nilipoulizia kwa yule dada, akaangalia haraka haraka barua yangu akasema haijielezi vizuri, na hata hivyo boss wao alikuwa na shughuli nyingi siku hiyo. Nili-note kuwa yule dada alikuwa hajaniangalia sana usoni. Nilikuwa nimevaa t-shirt. Nilipiga mahesabu ya kurudi tena hadi Moro, nikaona ni usumbufu mkubwa, so nitafute namna.
Nilitoka pale ofisini, nikaenda internet cafe fulani nikai-type ile barua kwa kiingereza, nikaiprint na kusaini sehemu ya boss wangu kwa sahihi ya kuforge.

Nilienda kwenye duka la kuuuza nguo, hapo hapo posta nikanunua shati na tai, na nikavivaa pale pale. Nilitoka nje nikazunguka nikaona jamaa anauza miwani, nikanunua moja plain (kama ya matatizo ya macho) nikavaa. Nilirudi pale ofisini baada ya kama saa moja, nikamkuta yule dada kama kawaida anahoji na kuwarudisha watu huku wachache wakiruhusiwa kumuona boss.
Nilianza kujieleza upya kwa yule dada lakni wakati huu nikitumia kiingereza. Yule dada alijaribu kujibizana na mimi kwa kiswahili, lakini nilijifanya sielewi, huku nikisisitiza natokea south africa, na nilijitahidi kuongea mambo mengi sana kumchanganya. Aliiangalia barua yangu, hata hakugundua kuwa haikuwa na muhuri, akaniambia 'wait there', na baada ya kama dk mbili akaniambia you can enter.

Nikachoma zangu ofisini kwa boss, nikalonga nae kiswahili. akanielewa akaniprintia data zangu nikatimua huku najisifu kuwa pamoja na ushamba wangu wa mikoani, leo nimefanikiwa kumuingiza mjini wa Dar.

Tuko hii Kali..... Khaaa!! What an experience.... it is worth it.... and Speaks volumes.....

Na bana sio woote tuliopo mikoani ni washamba....lol... wengine ni wajanja kuliko hata wa town....
 
8100167-a-foreman-in-a-black-suit-holding-a-blueprints-and-looking-towards-the-construction-site.jpg
...lol...hakuna kosa kabisa ndugu yangu, ila ukimkuta mjenzi wako kavaa suti, tai, na skuna huku anachanganya zege ujue umeliwa!

ha ha ha.... wapi PA??? aje aone suti site!!! lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nikusaidie tu kujibu. Ndio... alichaguliwa kutokana na sura yake, tena kura nyingi alipata kutoka kwa wanawake...

lol...............lol................lol............

Wamama tupendavyo ma HB!!!
 
I love your pics mara nyingi.... in fact i am counting on you kunikuzia pic iko ktk this thread
post # 51 nataka i-appear bigger... Please do the needful...

Alafu kisa chako kimenikumbusha mwaka juzi if not mistaken huko London, kuna jamaa
alienda na ulinzi mkali hapo Bank na kudai yeye ndi mkubwa wa hapo (akataja kabisa jina)
na kutaja apewe millions of pounds... You can not believe it alipewa na akaondoka mida ya
saa nne asubuhi... by the time wame realise waka gundua ni tapeli!!! LOL

post #51 sorted.

Hio statement in purple has made my eveninng....lol...

Kwa hiyo ile first glance inakushawishi but akija vibaya haudanganyiki?? really funny!

...lol...hapana bana, namaanisha najipa muda kumjua mtu than 1st appearance...he he
rihanna_without_make_up.jpg
...ila huyu kwa mtazamo wa kwanza tu najua ni mjeuri, ona kimdomo chake!
 
Magulumalu naona tu wanitafutia BAN hapa....lol... Sio kweli bana ila tu wale viti maalum..... mmmmmh!!!

lkn mie na wewe tena? Haya tumwache Mkulu wetu maana mhhh no coment mie...Kumbe ndo maana mie kazi sipati, misura hii bwana, dah lkn Nafurahi my honey wangu ananizimikia nilivyo maana hana wasiwasi wa kuporwa...
 
lol...............lol................lol............

Wamama tupendavyo ma HB!!![/QUOTE]

Nijitangaze nini AshaDii maana na mimi ni mmoja wao
Ngoja nije na kile kiingereza changu cha "Am handsome meen and University of malyasia Meen" si utanikubali hapo
 
Tuko hii Kali..... Khaaa!! What an experience.... it is worth it.... and Speaks volumes.....

Na bana sio woote tuliopo mikoani ni washamba....lol... wengine ni wajanja kuliko hata wa town....

Na mara nyingi mtu analazimika kuwa mjanja kutokana na shida anazokutana nazo. Dar kuna shida nyingi sana?
 
post #51 sorted.

...lol...hapana bana, namaanisha najipa muda kumjua mtu than 1st appearance...he he
rihanna_without_make_up.jpg
...ila huyu kwa mtazamo wa kwanza tu najua ni mjeuri, ona kimdomo chake!

Mbu naona na wewe ushaanza kujudge book for its cover sasa
Kimdomo tuu umeshamjua ni jeuri
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nikusaidie tu kujibu. Ndio... alichaguliwa kutokana na sura yake, tena kura nyingi alipata kutoka kwa wanawake...

mkuu inakuwaje? unatumiaga kale ka mbuzi ketu? tukutane tukale lini? maana umemwokoa Ashadii..
 
Back
Top Bottom