Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, Jul 26, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Habari zenu JF Ladies and Gentlemen.....

  From my perspective and experiences mbali mbali katika maeneo mbali mbali nime observe saana hili suala la Uzuri/Urembo/Utanashati unavyochukua nafasi kubwa saana katika kupata huduma mbali mbali katika jamii – yaani ni kwamba tunapotembelea/tembelewa katika office, organizations, groups, institutions mbali mbali the way wewe personally unaonekana ndio itayo pelekea aina ya huduma na mapokezi utayopata…

  Uzuri/Urembo ama utanashati ni kitu cha kwanza kabisa kua considered… then inafuata hali yako ya kifedha.. kama mbaya ama nzuri…. (hii haraka haraka – inakua skimmed kwa jicho ikipimwa na posture kama ipo confident, simu uloshika, hair style, viatu… n.k) Hii tabia hasa mijini inakua kwa kasi mno, mkionana na mtu mara ya kwanza anazingatia kwanza how you look, then nguo ulizovaa (assumed thamani) sometimes hata kama umekuja na usafiri… Then maybe ongea yako… Local?? Sophiscated?? Ordinary?? Accent?? – it is not fair BUT the truth…

  Kwa Mfano…

  Kunaweza kukawa watu wanahudumiwa hapo … na mhudumu awe wa kike au wa kiume akawa na attitude kama vile anavo toa huduma kwa wahusika ni kama anawafanyia favour (hali ni wazi ndio kazi inayomuweka mjini…) – Hapo hapo akaja (acha mtu anaemfahamu…. ) mdada mrembo/mzuri OR mkaka mtanashati/mzuri – Sura yoote na attitude ikabadilika ghafla kwa tabasamu ulovamia sura yake ghafla!!!...Na amini usiamini huja yenyewe inevitably…

  Hata hivyo sio katika huduma peke yake…

  Hili suala ni chronic hata katika maeneo ya kazi.. huchangia mtu kupata kazi.. ama kupanda cheo… ama kubebwa bebwa na maboss kisa tu uzuri wake unawa changanya n.k.. Mfano Mzuri nina wabunge wawili wadada nafahamu kwa karibu kwa first names basis… (alafu woote ni singles..) hawa wadada, ni mfano mzuri saaana wa walochaguliwa sababu ya Urembo/Uzuri – but infact hakuna kitu wanaweza kufanya… Sad… Mmoja alishinda uchaguzi wa ubunge jimbo Fulani – wakati wa kampeni hajawahi hata enda eneo husika kujinadi…

  Hii issue ni kitu ambacho watu wengi hatupendi kufanyiwa… huku cha ajabu ukute na sie hufanya hivo hivo katika maeneo yetu ya kujidaia…. Sina maana kua ni sehemu zoote ama watu woote… Lah! Ila ni most of the maeneo/wahudumiaji….

  Ombi Kwenu wana JF…

  1. Naomba tujaribu jadili nini hasa chaweza changia kumpandisha alie Mzuri/Mrembo/Mtanashati.. kuhudumiwa haraka, kupendelewa/kubebwa ama kuthaminiwa hali hicho ambacho anakua favoured hata Yule ambae sio Mzuri/Mrembo/Mtanashati anaweza provide…
  2. Ikiwezekana tushee experience mbali mbali katika maeneo/insitituions mbali mbali ili kupata picha kamili ya sula zima liko kwa kiasi gani….
  3. Mtu unapojikuta katika hio hali ya kunyanyapaliwa…. Ufanye nini??

  Natanguliza Shukrani…

  Pamoja Saaana…

  AshaDii (ADI)

   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Inategemea ni mahali gani, kama ofisi ipo serious kutafuta wafanyakazi hawafikirii kigezo cha urembo, kama ofisi inataka mtu wa kungonoka inaweza kutumia kigezo hicho, but jaribu kuwa smart hata kwa nguo yako ya kawaida tu na utakubalika.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,787
  Trophy Points: 280
  wonderfully observation....
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mamndenyi.... Thank you for sharing.... BUT kumbuka kua hizi tabia
  zipo katika kila level of Institutions..... Na kuna mwingine kajitahidi
  kadri ya uwezo wake aonekane presentable But still hiio level best haijatosha.....
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  My woman
  Ukiangalia ulivyoeleza hapo juu
  Sababu kubwa ya hao wahudumu kuonekana kutoa extra attention kwa watu wanaoonekana si walalahoi ni kwamba
  • Hao wateja "Warembo aka Mahandsome" wanatabia ya kusema "Keep change" kama hela iliyobaki anaona ni ndogo kwake. Mfano kanunua vitu kwa kutoa noti ya sh 10,000/= then ikabaki change sh 700/= anakwambia "baki nayo". Sasa hizi "baki nayo" kwa siku zikitokea mara 25 tayari ana 700 x 25 = Tsh 17,500/= ambayo ni Tsh 525,000/= kwa mwezi. Hela hii ni nje na mshahara!!!!
  • Kuna biashara za ziada zinafanyika, nje na kuhudumiana kichakula ambayo ni NGONO. Si wadada wala wakaka. Akivutiwa na mtu wa kwenye misosi na anampa hela za kujikimu, basi lazima ampendelee.
  Sasa kuiondoa hii kero si rahisi, ngoja nifikirie kama inaweza kuondolewa . . . . .
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  My woman
  Kwa upande mwingine ni hivi
  Usikute mtu ana gari, nguo za bei mbaya, anajirusha migahawa na mahoteli ya bei mbaya . . . .
  . . . Jaribu kujua anapoishi . . . UTACHOKA!!!

  Lakin ulisemalo lipo kila kona . . . .
  Sisi ofisini kwetu, kwa wafanyakazi wanaotumia gari za ofisin (yaani Staff Buses) nao hujikuta wanawekwa kwenye makundi
  Ukionekana una mwili mdogo, huvai kibosi basi unachukuliwa kama vile unafanya kazi za ufagiaji ofisin, kupeleka chakula kwa mabosi au kupiga deki showers, na madhara yake ni kwamba hata wakati wa kupeleka wafanyakazi ofisin wanapuuzwa na kuachwa vituoni. Huku kazin inajulikana ni wavivu wa kazi maana wakichukua daladala wanachelewa sana. Na hilo tatizo tumelitatua baada ya hao wafanyakazi kulisema ktk vikao na wakurugenzi, na matokeo yake wamepewa ruksa kwamba, endapo wakiachwa vituoni wachukue tax hata kwa sh 20,000/= na apewe risiti ya tax. Akileta ofisin anakabidhiwa dereva wa staff bus ailipe, akikataa anakatwa mshahara.
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Shosti mzima?
  Naomba tupanue wigo kidooogo ili pia watu wengi zaidi wafaidike na mazungumzo haya.

  Nitachangia kwenye bold hapo kuhusiana na kupata/kukosa fursa zaidi ya kuhudumiwa.

  Nitaanza kwa kusema kuwa uzoefu umenifundisha kusoma mazingira kama unatafuta kazi.Niliwahi kukosa kazi nzuri sana huko nyuma kwa kushindwa kujua nifanye nini ili kuuza zaidi ya CV. Kazi ya mwanzo ilikuwa ya kimataifa lakini zenye kutaka mhusika kutembelea maeneo mbalimbali yakiwemo makambi ya wakimbizi. Nilshangaa nilipokosa kazi ya mwanzo kwa vile nilionekana sitamudu kazi za field na kwamba nina uzoefu zaidi na mambo mengine ya kimataifa ( kisa ni kwa vile CV yangu inaonyesha uzoefu anga hizo na jinsi nilivyovaa au kujiweka!)

  Kazi ya pili nilishajifunza. Nilipoitwa kwenye interview nilivaa mavazi ya kiafrica na kupunguza makali ya CV na kusisitiza zaidi uzoefu wa grassroots.Kujibu maswali kwenye medani ya kimataifa haikuwa issue.Ajabu na kweli kazi niliipata na kujulishwa in less than 2 hours baada ya interview. Hivyo basi utanashati unaweza kumpoza mtu vilevile.

  Mafundisho ni mengi lakini nitashare huo mfano mmoja tu kwa sasa.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hio Avatar ilinifanya nikusahau dear.... Maneno yako nikajua this is CPU original....

  Nimependa the perspective ulotoa hapo juu.... ni insight ambayo ni kweli kabisa in most
  cases... How ever, umelenga katika insititutions Kubwa ambazo hata wenye fweza wanatembelea..
  There are other places za kawaida tu.... yaani unaweza kuta ni receptionist (Me au Ke) ambapo
  ni wazi hata pesa haitolewi pale.... hapa waweza semaje??
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha.... CPU.... This Post imenifurahisha dear.... wonderful observation...

  BUT my empasis ni kwenye purple bolded.... Huyo mtu hata kama rafiki
  yako vipi anakukwepa by all means kumtembelea kwake... visingizia haviishi...
  Kimbembe akifiwa.... kweli inakua aibu....
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimeobserve hili swala kwenye banks nyingi hapa tanzanzania.
  Wanaume watanashati, wenye mvuto na tena wakiwa weupe ni an added advantage ya kupata kazi.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  WoS shosti.... mimi mzima wa afya.... Nasubiri tu Verdict kule...lol... SIKUACHIII!!!

  Enways... Nimependa hio insight ulotoa hapo.... Umenikumbusha kuna binti aliende kwenye interview akawa amevalia African wear katika Shirika moja kubwa la nje... walipofika huko of 12 people she was the one choosen katika a very prestigeous position... Sasa binti kumbe aliobserve mazingira pale na kugundua you can wear anything as long as you are working hard (as per her assumption....) Huwezi amini kaja report kazini aanze kazi na kaptula with a top.... (so disappointing - ukicompare na nguo alofanyia interview!); Yule mwanamama mzungu alimwita akampa a one month salary - Plus pesa ya usumbufu na kumbwambia kazi hana tena.... kama mzaha hakuanamini.... Na ni mpaka leo.... akaitwa shortlisted!

  Haya mambo ya interview haya... yaani mtihani kwa kweli... kama ulivyosema - kweli haitakiwi uwe too mtanashati... tena kwa ladies wanaompenda funga kucha ndefu mno na kuzipaint.... zaweza kukosesha kazi....
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  aaaisseee!!! This is news to me!! Dah! kwa hio weusi ni dhahiri hatuna soko.....
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aiseeeee!!!!!!
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  PA.... Give me a break jamani....
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Soko lipo, ila ukiwa na mweupe na wote mkiwa na same qualifications yeye atakuwa prefered!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  My woman tell me lol!!!
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna ukweli ndani yake nimeishawahi kukutana na kitu kama hicho
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Naona nyakati zinaniambia nianze kujichubua....lol... Enways On a serious note...

  kaka/baba zetu hupenda saaana kujifanya weupe wa mwanamke hau matter..
  ambapo sio kweli kabisa!! Ndio sasa hii itawiana kabisa na mamboa ya uzuri...
  waweza kua mtanashati BUT sio mweupe thus a disqualification ya uzuri.... Bad.
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  My woman
  Sehemu za kuhonga watu sio specific
  Unaweza kukuta ni sehemu ya kutoa maelezo tu lakin hapo hapo watu wanawekana sawa
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  PA tatizo haupo mda mrefu... hata hivyo kila kitu kipo kwenye faili.... CPU
  we had a truce... he can call me his woman as long as aache kunisumbua
  na kunitongoza... mpaka pale kakako atapoachia ngazi....  PA Please share....
   
Loading...