Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Ila sikuwahi kufahamu uelewa wa Lisu nje ya sheria ni mtupu hivi
Hivi anakuzidi kweli? Umeshaambiwa ni mapambano kwanza ya waliokatwa warudishwe ndio mengine yaendelee..muwe mnasikiliza kwa makini
 
Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako

1: maendeleo ya watu.
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compassion watafidiwa

2: Atakuza uchumi na shughuri za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka 15% hadi 1% , ambayo Ni 10%ya bizaa ulizoagiza.

3: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko- ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara .

Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.

Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati

4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika

Bado anatema cheche.....
 
wacha utapeli, anza na katiba ya chadema, wewe ndio uliondoa ukomo wa mwenyekiti na kutengeneza mungumtu, hatutaki
 
Ukweli watu wamekata tamaa na siasa za kukandamizana zinazoendelea. Binafsi nilianza kuhamasika kwenda kupiga kura baada ya ujio wa Tundu Lissu.. Lakini kutokana na kinachoitwa kuenguliwa kunakoendelea siwezi kwenda kupiga kura wala kuhudhuria kampeni ya mgombea yeyote.. NB:mimi pia nipo kwenye eneo ambalo mgombea wake ameenguliwa.. Aisee
 
Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako

1: maendeleo ya watu.
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compassion watafidiwa

2: Atakuza uchumi na shughuri za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka 15% hadi 1% , ambayo Ni 10%ya bizaa ulizoagiza.

3: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko- ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara .

Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.

Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati

4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika

Bado anatema cheche.....
Mkuu asante sana. Hii ianzishie thread ili mataga wapate pa kujifunzia!!

Wataelewa ni kwann jamaa anaitwa "game changer"!!
 
Habari Tanzania !

Hongera sana CHADEMA kwa kuongea amana kwa taifa. Hakika muda umefika na sasa basi.

Kiukweli maendeleo ya watu ndio huchochea maendeleo ya vitu. Tuna rasilimali nyingi sana katika taifa tunaweza wapa watu wetu maisha bora, mazuri na yenye kumpendeza kila mmoja hapa nchini kwa madaraja yote, masikini na tajiri na wote wakafurahia kuishi Tanzania.

Karibu.
 
Hata hii jana mlisema ni mchana, picha ilikuwa live jioni TBC, angalia vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano. View attachment 1552016
Huwa siwezi bishana na wewe maana kwa vyovyote Dish lako limeyumba kama alijaribu yumba usingeweza danganya!
Screenshot_20200829_173652.jpg

Apo ni Kawe sijuwi nani aliwaondoa akili umo kwenye vichwa vyenu!?
 
Back
Top Bottom