Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Ni mchanganyiko wa nini na nini?Mboga yangu pendwaView attachment 1881365View attachment 1881367
Bamia,karanga,kitunguu, magadi.Ni mchanganyiko wa nini na nini?
Ndiyo
Hmmm...hao wamekomalia tu kua mi ni XXL 🥴🥴I think vijana they mean to say you're beautiful from the look of your hands...,
Chapati 😂Hivi chief chapo maana yake nini?
Hayo magadi yana kazi gani?Ndiyo