Smokie ama Sausage? 👌
Hamjakitendea haki hiki chakula upande wa kamati ya vinywaji
Hivi vinaitwa bizarre foodsKaribuni kwenye vyakula vitamu aina ya wadudu mbalmbali kama inzi, siafu,mende, funza, jongoo nakadalika.View attachment 1857062View attachment 1857064View attachment 1857065View attachment 1857067View attachment 1857068View attachment 1857070



Ninyi tosha yenu ni ile diet ya mauaji!😁🏃🏃🏃Kwa hiyo mabonge hatutaki vitamu?
Hivi Mamumunya yanastawi nnje ya Dom?Hii week nilikua bush navuna wakuuView attachment 1824936
Nilikuwa nipo singidaHivi Mamumunya yanastawi nnje ya Dom?
SausageSmokie ama Sausage?![]()
Mwambie aache ujinga. Na ajifunze kuwapikaDemu wangu kaniambia eti dagaa ni mboga za "masikini". Amegoma kupika.
Nimemtimua getto, nikaingia jikoni mwenyewe.
View attachment 1858180
Nakula simbakishii hata punje.
View attachment 1858190