Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Hii safi sana kwa afya😋😋😋Hapo unapata choo moja safi sana.
Mkuu hii Buguruni Euro pub bado inatoa hii huduma ya supu?Buguruni Euro pub kabla Kulikua na supu koromeo,ndizi na mapupu ebanae natoka Masaki naenda mpaka Buguruni kunywa supu.
Alafu unakamata mlupo pale anyonye bo*lo ukikojoa
Maisha haya
Mpk leo naishi Mungu mkubwa.
Mathna lakini! Uko tayariUnataka kuniwowa?![]()
Hicho cha kijani ni nini?
E bwana eee😋