Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Mmmhh kasheshe. Mambo ya kula bila nyama au kuku au samaki siyawezi.
Kukonda kazi aiseee![]()
nachukia kitambi kuliko kitu chochote ni heri nishindie maji ila nisiwe na tumbo


sasa nakiona kinaanzaMmmhh kasheshe. Mambo ya kula bila nyama au kuku au samaki siyawezi.
Kukonda kazi aiseee![]()


sasa nakiona kinaanzaDada mkubwa ni kitambi cha kitimoto?😁😁😁nachukia kitambi kuliko kitu chochote ni heri nishindie maji ila nisiwe na tumbosasa nakiona kinaanza
Hii sio pale stendi Tokyo kwa chini hivi,? kuna chaka pale unaweza kula mdudu km kilo 10 na ukarudi baada ya dk 10 tu ukaoda ya kupiga nswaki😁,tamu sana
Rombo green view Sinza hukosiNimetafuta ndizi utumbo mpaka nimechoka....
kinavutia
Rombo green view Sinza hukosi
Hapa ukijamba vinanuka kama gari la majitaka
Mihogo pointLocation please..

Rafiki kelele hazifai,wewe endelea tu kutupia kimyakimya!😁😁😁Hahaaa au mimi nianze kutupia na kelele
Thanks...nikirudi daslam nitafika hapo kutafuna mihogo.Mihogo point![]()
Rafiki kelele hazifai,wewe endelea tu kutupia kimyakimya!![]()

sawa rafikiMwenge?Mihogo point![]()
YeeeeereeMwenge?
Wako vizuri Kweli hao jamaaYeeeeeree