Mmmhh kasheshe. Mambo ya kula bila nyama au kuku au samaki siyawezi.View attachment 1749820
baada ya kujisosomola na kilo kuongezeka za kutosha now tunaanza tena diet

I love ndizi utumboNimetafuta ndizi utumbo mpaka nimechoka....
kinavutia
Chakula yetu ya kibosho!😋😋😋I love ndizi utumbo View attachment 1750589
I love ndizi utumbo View attachment 1750589
Naam. Kama ulojua mkuu. Na wanavojua kuzipika sasa.Chakula yetu ya kibosho!![]()




Duh, udenda ushantoka tayari! 🤤😋
Bana mdomo usimwage utamuDuh, udenda ushantoka tayari!![]()
😂 😂 😂Bana mdomo usimwage utamu
Location please..
Wantamanisha tu hapa! 🤣
This looks tasty alreadyI love ndizi utumbo View attachment 1750589
Oh yah. It wasThis looks tasty already