Wewe dawa yako ni ndogo sana,ngoja nimwambie qeen jojo afanye jambo lake kwenye ule uzi wetu wa selfika kule uone kama hautagongwa na magari barabarani!![]()

Buguruni yapo mpendwa
Hapo pamekosekana ndizi 2 kama ni jioni au chapati 2 za kuchemsha kama ni asubuhi...
Daaah!! Missyrose ntaomba darsa la upishi.
Chief sio poa kutesana!

Hahahaha! Pole kamandaChief sio poa kutesana!![]()
na alikua mtamu sana.We dada weee! Nimetamani huyo samaki (Tasi)
![]()
Dah,umenikumbusha Mara ya kwanza kusikia nyama ya ulimi nlikua secondary,nkienda grocery kwa uncle akamuambia muhudumu aniletee supu ya ulimi nlikataa.Nliwaza tu ulimi ulivo wa ngo'mbe naulaje.Nkawaambia anipe tu supu ya nyama.Sa hivi ndo nyama yangu.

pata choma yake sasa
Kumbe kuna ya kuchoma pia,ntaitafuta aisee.

Nimetafuta ndizi utumbo mpaka nimechoka....