Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Mwasho kuruka, upate ugali hot sasa 🤣👌
Mwasho kuruka, upate ugali hot sasa 🤣👌
Ziko 8 moja imefanya featuringmboga sabaView attachment 1746025
Mboga saba remixZiko 8 moja imefanya featuring
Mmmhhh. Biashara au?
Home sweet home! Is this a chair fire eeh?😋😋
Mbuzi katoliki?
WapiBuchani
Hiyo style ilio tumila kufunga chakula babu alinambia walitumia kufunga makukuru wakiwa wanaenda nacho shuleTupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula![]()
![]()
View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki niliipikia familia yangu.Mke pamoja na hawa watoto wangu wadogo wa kike wanavipenda sana.Mmmhhh. Biashara au?
Aiseee...mboga sabaView attachment 1746025
Hapana. CowMbuzi katoliki?
Umenikumbusha mbali sana mkuu😋😋
Rafiki acha kula kitimoto!🤣🤣🤣
Kati ya hizi na zile dark kabisa gani tamu, mie napendelea zile dark ones!