Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_7290.jpg
 
Hizi kitu unaweza kula mpaka ukauliza niko wapi jamani🤔
Mama kishori sa kumi anabandika bandua sa 12 saa 2 asb humjui kamaliza na hataki umweleze habari za vitumbua.
Ila mama yule alikua analea watu 20+
mle ndani, simple like that wanakula, wanalala wanaenda kuiba wakikimbizwa wanamletea kesi bibi yao.
 
Hizi kitu unaweza kula mpaka ukauliza niko wapi jamani
Mama kishori sa kumi anabandika bandua sa 12 saa 2 asb humjui kamaliza na hataki umweleze habari za vitumbua.
Ila mama yule alikua analea watu 20+
mle ndani, simple like that wanakula, wanalala wanaenda kuiba wakikimbizwa wanamletea kesi bibi yao.
Hatari sana hizi vitu..mimi hata vipikweje naonaga mswano tu
 
Back
Top Bottom