The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,332
- 11,789
Aah mi ntakuwa wa mwishoNapokea rambirambi![]()
Aah mi ntakuwa wa mwishoNapokea rambirambi![]()
BuchaniAiseee zinauzwa wapi?
Mme naona huna masihara kabisa linapokuja suala la msosi!😄😄😄



😊😊Mme naona huna masihara kabisa linapokuja suala la msosi!😄😄😄
Mme naogopa kuchekwa na watu vile utakuwa unabugia msosi kama mashindano vile!🙈🙈🙈😊😊
Alafu siku unitoe out tukale wote wifey au unaonaje?😉😉
Naam hii kweli mboga saba, big up sana!Mboga saba View attachment 1744191
Niliifanya sana hii tabia nikiwa mdogo! 🤣 🤣 🤣Niko njianiView attachment 1740284
Leo wali mchafu tuu ndio una trendMboga saba View attachment 1744191
FutariKitu cha muhogo wa nazi na jodari. View attachment 1720266
Hapa naeza tengeza bonge la taco 🌮 😋
Aaaaaaaaah!!!! Haiwezekani, naokota, naosha tena naunda supu jingine. Staki mchezo! 🤣 🤣 🤣