Hahahaha ankoo mhmhmh![]()
Karibuni...tarehe si rafiki...it's January
Asante.. Nishaponaga![]()
![]()
chalii pole

Duh.. Hata vidole vya kile huvijui man..Uo mkono na mguu na poz alilikaa mbona kama mwanamke

Nitumien hata glass ya majiJanuary hatupiki mama..![]()
![]()
![]()
Dadeki arafu anaepiga huo msosi wa nguvu ni demBila shaka ni kibudu kwa huo mchinjo hakuna swali
Ahsante MkuuKaribuni wapendwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni dinner au kipo kingine kinakuja?Karibuni wapendwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ahsante Bibiye![]()
Karibuni fresh from jikoni
Hahahahaha kunywa maji na mihogoJaman njaa..... Hamna msosi leo
Unashindia maji tuJanuary hatupiki mama..![]()
![]()
![]()