Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Mhhh! mshana: hatari hiyo mkuu
Mhhh! mshana: hatari hiyo mkuu
Yalikuwepo pembeni. sikuyapiga picha tu. Hapo kitu kinatoka jikoni

Safi sana
Sasa sisi wa kule Ttaaa..rime tutaweza kula kweli?Hakuna kichuri humo![]()
![]()
![]()

Ankoo kichuri ndiyo nini mimi mshambaHakuna kichuri humo![]()
![]()
![]()
Ankoo kichuri ndiyo nini mimi mshamba
ni uchafu unaokamuliwa Kutoka kwenye utumbo wa ng'ombe/mbuzi(mimi naona n kinyesi tu)huandaliwa kwa ajili ya kula na nyama choma [HASHTAG]#alibakari[/HASHTAG] ndo anajua kwasabab yeye ni wa kandamaalum kule TaaaariiiimeeHahahaha ah ankoo upo vizuri mimi sijui banah,ushamba mzigo ankoo![]()
![]()
ni uchafu unaokamuliwa Kutoka kwenye utumbo wa ng'ombe/mbuzi(mimi naona n kinyesi tu)huandaliwa kwa ajili ya kula na nyama choma [HASHTAG]#alibakari[/HASHTAG] ndo anajua kwasabab yeye ni wa kandamaalum kule Taaaariiiimee
Anko ni vyakula vya kitamaduni hivo sio rahis kujua, mimi pia nilikua sijuiHahahaha ah ankoo upo vizuri mimi sijui banah,ushamba mzigo ankoo
Sawa ankoo ....cha leo ankoo ukipika usisaha kurusha nile kwa machoAnko ni vyakula vya kitamaduni hivo sio rahis kujua, mimi pia nilikua sijui
Sawa ankoSawa ankoo ....cha leo ankoo ukipika usisaha kurusha nile kwa macho
Ahsante![]()
Karibuni...tarehe si rafiki...it's January
Hapo tayari umemwelewesha![]()
![]()
ni uchafu unaokamuliwa Kutoka kwenye utumbo wa ng'ombe/mbuzi(mimi naona n kinyesi tu)huandaliwa kwa ajili ya kula na nyama choma [HASHTAG]#alibakari[/HASHTAG] ndo anajua kwasabab yeye ni wa kandamaalum kule Taaaariiiimee
