Ndo lunch au kisubirishio cha lunch?
Pole chef. Si zijazo kuwa makini![]()
Mambo yalivyokuwa sikukuu zilizopita mpaka niliji chop kidole![]()
Itume tena, haifungukihttp://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/d1a751e5949c6bd87fd54af145f0dc48.jpg[/IMG
Karibuni
Uo mkono na mguu na poz alilikaa mbona kama mwanamkeDah pole sana kaka
Hahaha kumbe kuna mishkak ya bamia?
Kibungo hichoMhhh!! Vp tenaaaa bibiye?! Au ndo.................!!
Mbona mayai ya kuku wa kienyeji hakuna hapa mkuu
Yalikuwepo pembeni. sikuyapiga picha tu. Hapo kitu kinatoka jikoniMbona mayai ya kuku wa kienyeji hakuna hapa mkuu