Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,620
- 50,893
Hahahaha maji itafaa eti ehNitumien hata glass ya maji
Hahahaha maji itafaa eti ehNitumien hata glass ya maji
Hii kibachela zaidi...Karibuni wapendwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ahsante ankoo![]()
Karibuni fresh from jikoni
Mkuu kama naiona strawberry hapo! Hovi kwa hapa Dar wapi naweza kupata haya matunda?
Mkuu kama naiona strawberry hapo! Hovi kwa hapa Dar wapi naweza kupata haya matunda?
Thanks alotHaya matunda nenda supermarket kubwa au soko la kisutu
![]()
Karibuni...tarehe si rafiki...it's January
![]()
Karibuni fresh from jikoni
Yaani ukiangalia hii Page unatamaki kula tu haha itabidi nipite sehemu nipate mishikaki 🙂
Mie naomba na vya diet jamani kuku choma, samaki choma ,nyama choma ,matunda nk nk🙂
Hii mko wangapi Mkuu ?![]()
Sio homemade...ni hotelini