Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Huyu amechinjwa mkuu......Dah..!![]()
![]()
![]()
ukisikia KUKU MZIMA ndio huyu hapa

Huyu amechinjwa mkuu......Dah..!![]()
![]()
![]()
ukisikia KUKU MZIMA ndio huyu hapa

Dah....huyu lazima zile hisabati za uwiano (ratios) zilimpiga

![]()
Karibuni

Mmoja tu mkuu,one man army!! Kuna kila kitu kuna mpaka sato hapo amefunikwa na ganda la limao hapoHii mko wangapi Mkuu ?
Mmoja tu mkuu,one man army!! Kuna kila kitu kuna mpaka sato hapo amefunikwa na ganda la limao hapo
mmoja?wallah hii inaitwa kupaniaRaha jipe mwenyewe mama! Nakula goodtime tu saiv![]()
![]()
mmoja?wallah hii inaitwa kupania
fack love

Kila la kherRaha jipe mwenyewe mama! Nakula goodtime tu saiv![]()
fack love
![]()
![]()
Amen dada ndaunileKila la kher

Simple and yummyna kweli hizi tarehe si rafiki kabisa 🙂
Ila menu inaeleweka unashushia na maji
Hivi kwa wengine sio kibudu huyu kuku?
Hapa Dompo inahusika kusindikiza huu msosi![]()
Fresh from kitchen
Hapo gharama ni maji ya kunywa ya bariiid, tena mchana
Mhmhhh....anko upo vizuriHapo gharama ni maji ya kunywa ya bariiid, tena mchana