Tobaa roho yangu, nna njaa![]()
Bidada hujambo,za siku,nimekumiss sana na wewe Mshana Jr angel wako karudi ata kuniita ilhali kutwaa ulikua ukiniuliza kuhusu angel,nimenuna

Tobaa roho yangu, nna njaa![]()

Bidada hujambo,za siku,nimekumiss sana na wewe Mshana Jr angel wako karudi ata kuniita ilhali kutwaa ulikua ukiniuliza kuhusu angel,nimenuna![]()
Uwiiiiiiiiiiii!
Kama kawa!
Sijambo Bi Faa. Hahahahaha miss u tooo. Za maisha lkn?
.Nzuri Alhamdulillah vipi na wewe na Zenji naona mnatunyima madoriani.

Hapa ulikua tumekumisssss mnooo mama maakuli mamaa wa vitu vitamu mamaa wa madikodiko uncle G penda sana weweNzuri Alhamdulillah vipi na wewe na Zenji naona mnatunyima madoriani.
Hapa ulikua tumekumisssss mnooo mama maakuli mamaa wa vitu vitamu mamaa wa madikodiko uncle G penda sana wewe
Hili ua unazidisha utamu sio![]()