Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Nani kama Lizzy?
Na mie najidai kujisogeza sogeza ila sidhani kama nitampata

Nani kama Lizzy?

Hii keki ya nyama, nilihisi ni chips yaiView attachment 1640224
Cake ya nyama
Hii keki ya nyama, nilihisi ni chips yai
sawa sawa mkuuKwenye Msosi wangu huwezi kukosa Karanga au Rolex au vyote kwa pamojaView attachment 1641159
sijamuona dada yangu,vipi ulikuja huko kuwapikia nini mkuu?wanaume wa magetoni tukiamua tunawezaView attachment 1641147
Nayafahamu haya, Mbeya kwetu tunaita "Maswisa" sasa sijui ni kiswahili hicho ama kibantu🙉Nani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Umekosea kidogoNayafahamu haya, Mbeya kwetu tunaita "Maswisa" sasa sijui ni kiswahili hicho ama kibantu![]()



Aisee 😀😀Umekosea kidogo
Ni mafwisa
Kiswahili chake sijui
Sisi kikwetu ndio tunaita hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app