Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 5,481
- 12,692
Ooh okayWala si gizani
Ni picha tu imetoa Giza hivyo kwa sababu niliwasha flash
Mlia gizani hi!🖐️🖐️🖐️😁
Hilo roast sijui maini!😋😋😋View attachment 1645436
View attachment 1645437
View attachment 1645438
View attachment 1645439
View attachment 1645440
Kila kitu nimepika kwa mkono wangu Hamna cha kununua hapo
Sio gizani jananiMlia gizani hi!
topetope nilikula dom zamani sana ni matamu na hayana harufu ya kukeraNani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Hilo roast sijui maini!
😀😀😀 labda hapendi harufu mikononi.Wewe vyakula vyako kuna vijiko.
Shida nini?
Sijataka kujitafutia kesi, wacha kukuche arudi Tz aende kupumzika kwao kwa muda maybe atajutia kile alichotaka kukifanyahujampa makofi kidogo
Katumwa huyo maana hiyo vurugu hapo si ndogoSijataka kujitafutia kesi, wacha kukuche arudi Tz aende kupumzika kwao kwa muda maybe atajutia kile alichotaka kukifanya