Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Aiseeehhh umeongeza njaa hapa ni hatari aisehh hii mambo
Kuna pilau mbuzi banah nalo ni tatizo lingine

Wewe ni mzenji, wazenji na mapishi yenu ni hatari, mnapikaga vibarazani nyei hamtaki mambo ya jikoni


Unajua kunitesa!![]()
Kuna sehemu nimepost bia halafu ukalike!



Nililike kwa sababu ya picha za juu..Kuna sehemu nimepost bia halafu ukalike!![]()
WeeeeeHa hahahahaha. si useme tu sahiib. Mkuyat![]()



unaona aibu kusema 




Hapa mlikua ntu ngapi
Eti ntaa na ntaa au ntu na ntuKhaa, hamna kitu kama icho ukiona mtu anapika barazani basi ujue chakula cha biashara hicho. Sina hakika sana lkn siwezi kusemea mitaa yote pengine inategemea ntaa na ntaa. Mie nimekulia gate kali![]()


8Hapa mlikua ntu ngapi
Baba mjengo leo sijapika, nimekula matunda tuThe Happiness umepika nini mama watoto