Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
YeahHahaha!
Ya uswazi tu, hiyo
Msosi wa kibabe si lazima utoke huko 5* hotel
YeahHahaha!
Ya uswazi tu, hiyo
Aisee! Ni kweliYeah
Msosi wa kibabe si lazima utoke huko 5* hotel
Mshana vip bakuli letu hatulion nowdayz

Ni kweliAisee! Ni kweli
Ni sawa na kiatu, nguo kuna mtu anavaa cha 35,000 mwingine cha 100,000 ila ni kile kile tu

Nimekuletea ngadu unawajua?
Umeniletea zawadi gani toka shamba?
Hahaha! Aisee wewe hujui?Ni kitu gani hicho?
Naomba nione![]()
NdiyoHahaha! Aisee wewe hujui?
mdudu gani huyo?Mtamu balaamdudu gani huyo?
DuhMtamu balaa
Kwa kimombo anaitwa crab
Kiswahil ngadu

Hahaha!Duh
Mimi siwezi kula wallah
Zawadi gani ingine umenibebea?Hahaha!
Wewe sio mtu wa pwani tatizo ila ana nyama tamu sana nyeupee