My bad si kumalizia niaBaada ya kutoka kutia niaView attachment 1514775
Kabisa 🙂🙂Unashiba kabisa
Unajua kupika mkuu

MagimbiBaada ya kutoka kutia niaView attachment 1514775

Naam! Ila siyapendiiMagimbi![]()
Mi nayapenda ila nishushie na chai ya maziwaNaam! Ila siyapendii
Duuh! Hongera ilaMi nayapenda ila nishushie na chai ya maziwa
Duuh! Hongera ila
mimi maziwa yoyote sinywi kabisa



Asante sana!
Pole,
Yale yaliyochacha wanaita mgando,Achana nayo.
Kunywa chai![]()
HapanaAsante sana!
Unakijua kisusio?
Mkuu unanitamanisha

Ni Damu wengine wanaweka na vitunguu wamasai haswa wanapenda ni moja ya chakula chao pendwaHapana
Ni kinini hicho!?
Damu???Ni Damu wengine wanaweka na vitunguu wamasai haswa wanapenda ni moja ya chakula chao pendwa

How much can you eat ili utosheke?
Inategemea nina njaa kiasi gani.How much can you eat ili utosheke?