dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Ya ng`ombeDamu???
Damu ya nini?
Ya ng`ombeDamu???
Damu ya nini?
kitu cha supu ya mende
View attachment 566192
Siwezi kula damu.Ya ng`ombe
Waonekana mboga 7, ya nini diet?
Nangoja kiepe chako hapaSiwezi kula damu.
Halafu maandiko yanakataza

Siku hizi nakula Cafe hata kupiga picha niliachaNangoja kiepe chako hapa![]()
Hahahaha sawa sawaSiku hizi nakula Cafe hata kupiga picha niliacha
Weka picha za vyakula mkuu nisafishe machoHahahaha sawa sawa
Hahaha!Siwezi kula damu.
Halafu maandiko yanakataza
Hahaha keshoWeka picha za vyakula mkuu nisafishe macho
Sawa bossHahaha kesho
Nilikua shamba, hata mtandao nao ilikua ishu sasa nimerudi
Siku hizi hupost huku
SawaNilikua shamba, hata mtandao nao ilikua ishu sasa nimerudi
Naona ile misosi yetu ya kibabe imerudi

Hahaha!Naona ile misosi yetu ya kibabe imerudi![]()