dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Zaidi ya hiyo hamna mpendwaZawadi gani ingine umenibebea?
Hiyo ya huyo mdudu hapana
Zaidi ya hiyo hamna mpendwaZawadi gani ingine umenibebea?
Hiyo ya huyo mdudu hapana
Ooh! Jamani Polee!
Anaitwa kaa.Mtamu balaa
Kwa kimombo anaitwa crab
Kiswahil ngadu
Inabidi utafute namna ya kuifidiaOoh! Jamani Polee!

Hahahaha! Usijali suburi sikukuu ya krismassInabidi utafute namna ya kuifidia![]()
Christmas inajitegemeaHahahaha! Usijali suburi sikukuu ya krismass
Inajitegemea kivipi?Christmas inajitegemea
Haihusiani na zawadi hiiInajitegemea kivipi?

Unagombea Jimbo gani?Basi subiri, tufanye uchaguzi![]()
Hahaha! Mimi siasa siiweziUnagombea Jimbo gani?
Eti eh!!Hahaha! Mimi siasa siiwezi
Nimeandika hivo kwa hali ya hewa baada ya hapo itakua shwari

Subira yavuta heri,Eti eh!!
Ngoja tusubiri hayo mema![]()
Ngoja ngoja huumiza matumboSubira yavuta heri,
Na haraka haraka haina baraka
Bila shaka mkuu una kitambi kwa sasa
