atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Dada unapenda chips ww
Dada unapenda chips ww
Mazingira niliyokuwepo yalinifanya nile hivyo siku nyingi.Dada unapenda chips ww
Karibu mdogo wangu daladala kutoka ulipo ni mia 8 kufika hapa 😀Woooi![]()
Uko wapi nije???Karibu mdogo wangu daladala kutoka ulipo ni mia 8 kufika hapa![]()
Nkuhungu maa, karibu.!Uko wapi nije???
Nimechoka kula chakula kibaya kila siku
Umeolewa?Karibuni late late jamani.
Umeolewa?
Dah nimekuja mbio Pm kukwambia jambo ila kufuri lake mpkan mwa kenya na Tanzania ukasome...Haha hapana mkuu!
Sawasawa maa.Akhsanteee
Weekend ijayo nitakaribia![]()
Dah nimekuja mbio Pm kukwambia jambo ila kufuri lake mpkan mwa kenya na Tanzania ukasome...
Nimeona jambo hapo kwenye chakula chako hivo nilikuwa na ujumbe mzr kkwambia kwa malezi niliyolelewa si vzr kuropoka hapa....Pole, ntalifungua kwaajili yako.
Enheee unanitisha mkuu! Ngoja nikufungulie.Nimeona jambo hapo kwenye chakula chako hivo nilikuwa na ujumbe mzr kkwambia kwa malezi niliyolelewa si vzr kuropoka hapa....
Utanishtua mkuu, ukifungulia nikupe angalizo lako .Enheee unanitisha mkuu! Ngoja nikufungulie.
Sawasawa maa.

Daily unakula nyama mkuukwanini
Jr![]()
