Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Hapa nawaza nikale wapi mishkakiAiseee
Unajua kukitendea haki chakula![]()
AiseeeHapa nawaza nikale wapi mishkaki





Asante dada.Karibu sana![]()
Kuna maboga, nyanya zime sagwasagwaKimepangwa vizuri
Hizo ni Aina gani za mboga ukitoa huyo samaki?
Aisee hivi vitairi ni vinini vinatamanisha naeza futa sahani yote
Mate ya ugwadu yamenijaa ghafla#Wikienda View attachment 1470146

OkeeKuna maboga, nyanya zime sagwasagwa
Samaki ni kibua
Ukipika mnakula watu wangapi Anne?
Wengi tu ila kila mtu kwa Muda wakeUkipika mnakula watu wangapi Anne?
Okay..Wengi tu ila kila mtu kwa Muda wake
Kwanini umeuliza?Okay..
Amna hata,sina sababu ya maanaKwanini umeuliza?
Naitaka hiyohiyo isiyo ya maanaAmna hata,sina sababu ya maana

Nitakuambia PM..Naitaka hiyohiyo isiyo ya maana![]()