dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hua sielewi mtu anafunga maana tayari imeitwa ni private sasa unafunga sijui kwanini ila kimsingi kila mtu na namna anavopenda
Huwa nafunga kwa msimu
Hua sielewi mtu anafunga maana tayari imeitwa ni private sasa unafunga sijui kwanini ila kimsingi kila mtu na namna anavopenda
Huwa nafunga kwa msimu
Kuna muda unaweza ukawa kwenye mood ya kutowasiliana na watu.Hua sielewi mtu anafunga maana tayari imeitwa ni private sasa unafunga sijui kwanini ila kimsingi kila mtu na namna anavopenda
Duh! Hilo pepo lishindweKuna muda unaweza ukawa kwenye mood ya kutowasiliana na watu.
Huwa yanaanza taratibu hivohivo nakuambiajamani
Amen
Ipi na ipi?Kwanini hivi vyakula vyenyu vinamiss mboga 2?
Jr![]()
Hahahaha!Mboga 7 hizo ziko 5 bado bee
Jr![]()
Msosi wa kibabe huo, kitambi nje nje
Mboga saba 🔥🔥