
Leo nimependa nipike jeupe, siku nyingine napika kama hili.
Sipendi pilau lenye rangi iliyokoleza kuelekea weusi. View attachment 1469438
Cheese balls watoto wamenambia wanataka hii kitu kesho![]()
MUNGU ametupa neema mazao yanastawi sanaWatu wa mbeya mnapenda kula na vyakula mnavyo vingi
Vizuri sana tena bila kupepesaUnakulaga dona?
Dada nitakuja kukutembelea

Vinini hivi
Jr![]()
Shosti nimekumiss aiseee unapotelea wapiShosti amu nimemiss chapati zako