Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.

ᵃʳᵉᵉᵐ
Doh pole.
Mimi dawa zile walizonipa naziogopa yaani..ila zinasaidia Sana..dadangu ametumia vizuri na zimemponya
 
Back
Top Bottom