dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Ndagha upigileHahaha
Hii sasa ndo lugha yangu.. Tena umeipatia.
Hiki sio kinyakyusa..kinyakyusa ingekuwa "ulinkafu?
Une ndi mkafu![]()
Ndagha upigileHahaha
Hii sasa ndo lugha yangu.. Tena umeipatia.
Hiki sio kinyakyusa..kinyakyusa ingekuwa "ulinkafu?
Une ndi mkafu![]()
Nani anakufundisha hapo?Ndagha upigile
Wewe twende sawa! Alafu nyie watu wa mbeya .... basi tuNani anakufundisha hapo?
Tumefanyaje watu wa mbeya?Wewe twende sawa! Alafu nyie watu wa mbeya .... basi tu
Siri yangu,Tumefanyaje watu wa mbeya?
Iseme tu mkuu maana umeshaanza kusemaSiri yangu,
Watu wa mbeya mnapenda kula na vyakula mnavyo vingiIseme tu mkuu maana umeshaanza kusema
Unakulaga dona?
karibuni