Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Umenisingizia hiko cheoKubali hicho cheo wewe, kuna mwenzio anajiita profesa lakini kaishia la nne b

Umenisingizia hiko cheoKubali hicho cheo wewe, kuna mwenzio anajiita profesa lakini kaishia la nne b

Unanishangaza ujueUmenisingizia hiko cheo![]()
Najua hadi cha kuchombezeaHahaha
Umekariri ??
Hiyo lugha si yangu japo naijua.
Hebu andika tuoneNajua hadi cha kuchombezea
Twende sawa

Humu kuna mim na mshana hatubadilishagi vyombo
Mshana bakuli lake
Mim na sahani yangu![]()





Sasa nitaandikaje bila wewe kijibu yaani tuendeleeHebu andika tuone![]()
Andika nitakujibuSasa nitaandikaje bila wewe kijibu yaani tuendelee
Ulimkafu?Andika nitakujibu
Hahahaha sawaItabidi umpitie Saint Anne
HahahaUlimkafu?
