Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ndafu ya Pasaka!
0987654.jpeg
 
Hamjanipa mwaliko Pasaka
Mtaona. Na mimi EID haiko mbali

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Aisee! Inna hivi umesahau kuwa mimi na wewe ni marafiki? Hata kunipa mwaliko umekataa? Poa, utaona EID haiko mbali

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
hahaaha sio hivyo rafiki yangu,si unajua serikali imepiga marufuku ata kutembeleana ili tuwe safe ila mpk idd nafikiri tutakua tumeruhusiwa so usinsahau😂😂
 
Back
Top Bottom