minyoo yangu inaruka na kukanyagana tumboni
Jr![]()
Cc THOMASS SANKARA




Sent using Jamii Forums mobile app
minyoo yangu inaruka na kukanyagana tumboni
Jr![]()




😂🤣😂🤣🤣😂😂 inabidi itulie tuu hakuna namna kwasababu kuna mtu anaumia sana sisi kupostminyoo yangu inaruka na kukanyagana tumboni
Jr![]()
Sante sanaNimesaga siagi Na mayai then nimeweka unga Na baking powder,for hio layer ya chini ya keki.
Layer ya nyama nimechemsha nyama ya kusaga Na spices Na nimepara Carrot wakati nimeshazima moto. Nimesubiri ipoe nimeweka mayai mabichi.
Nimeweka layer ya cake katika trey juu yake layer ya nyama then juu nimeweka hohoo Na mayai mabichi tena alafu nimechoma kwenye oven.View attachment 1028281
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaahhh wee mama bado tu uko na mimi sipumuiii jamaniinabidi itulie tuu hakuna namna kwasababu kuna mtu anaumia sana sisi kupost
Dah hizo sambusa sasa du

,manda imetengenezwa kwa ufasaha.Dah minyoo yangu ina depression kwa kuviwaza hivi vyakula.


Dah hizo sambusa sasa du,manda imetengenezwa kwa ufasaha.
Maandazi nayo dah mkwe mkwe farkhina
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah minyoo yangu ina depression kwa kuviwaza hivi vyakula.
Pilau imechambuka dah,minyoo yangu tulieni,tulieni
Sent using Jamii Forums mobile app



Aya byeeee
Aaaahhh weee subutu ushaanza kutinganya mambo sasaAya byeeee View attachment 1028484