Nipo kwenye diet usinitingishe..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaa nsamehe bureeNipo kwenye diet usinitingishe..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
niambie jirani yangu, kwema?
Yanaitwa ngwara, au sio ngwara?
Toka nilipooona kuna sehemu wanauza makongoro ya kitimoto hapo hapo nikauchukia huu msosi.