Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chungu cha3
IMG%202019_01_03.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimezitoa kwa kuruka kamba. Hicho nimekipika baada ya kusahau nazi yangu sokoni halafu nikaona uvivu kurudi kuifuata ikabidi nipike mchemsho badala ya wali na samaki wa nazi kama nilivyokua nataka mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenzio sijui nimepatwa na nini yaani
Nikiona samaki nasikia kichefuchefu hatari
Hapa nimekula wali mkavu na veggies tu
Samaki kanishinda kabisa
 
Back
Top Bottom