win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,806
- 29,868
nimependa nyama,, mchele mpya unaboa sana hauchambuki ukizidisha maji kidogo unatoa bokoHili nalo halikuwa tamu kiivoView attachment 3637367
nimependa nyama,, mchele mpya unaboa sana hauchambuki ukizidisha maji kidogo unatoa bokoHili nalo halikuwa tamu kiivoView attachment 3637367
Anhaa hivi ndio sababu eenhe? Yah nyama zilikuwa tamu si unajua nyama haina mbambamba ikikauka tu fresh .nimependa nyama,, mchele mpya unaboa sana hauchambuki ukizidisha maji kidogo unatoa boko
lina nyama nyingi hadi rahaHili nalo halikuwa tamu kiivoView attachment 3637367
mboga chache hivyo
Niliona tu hazieleweki nikaweka kidogo.mboga chache hivyo
na kwanini ule ubwabwa na ugali pamoja🤣Niliona tu hazieleweki nikaweka kidogo.
Kilikuwa kile kipindi mtaitaje, karibu na ovulation unatamani kila kitu kitu na hautamani kila kitu na uko ugenini 😂😭na kwanini ule ubwabwa na ugali pamoja🤣
aaah🤣🤣🤣🤣 nimekuelewaKilikuwa kile kipindi mtaitaje, karibu na ovulation unatamani kila kitu kitu na hautamani kila kitu na uko ugenini 😂😭
🤣🤣🤣aaah🤣🤣🤣🤣 nimekuelewa
Hamna sheikh, mie mdudu situmii, ile harufu yake tu inanishinda, nikipita sehemu anapikwa nasikia hovyo mnooo.Bila shaka huyu ni mdudu
Fanya siku 1 unibless, nije kudoea ndugu yangu..Hili nalo halikuwa tamu kiivoView attachment 3637367
Kijana ananikosea adabu kabisa 😂🤣Naona unamlisha Shehe kitu au sio 😂?
Huyu mkorrrrofii.. 😂🤣sameja jana umelewa sana eeh haujui kuona hata paja la kuku jamni😅
Sasa huyo samaki kwa watu washenzi, wanampindua wanakula upande wa pili..
Hilo limeisha mkubwa.Fanya siku 1 unibless, nije kudoea ndugu yangu..
Sawa tufanye hutaki nije kwako, sawa, basi hata kwa bolt tu