Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,893
- 41,003
Nimejifunza jambo hapa.. teh teh teh😁Sasa huyo samaki kwa watu washenzi, wanampindua wanakula upande wa pili..
Kwa sisi wastaarabu tunatoa mwiba wa kati, tunakula nyama iliyobaki.
Usiende kuchumbia ukawekewa samaki, ukala uapmde mmoja kisha ukampindua kula upande wa pili, sehemu nyingine unapigwa makofi na mke unakosa...
Zingatia
KUMPINDUA
KULA UPANDE WA PILI