Kwa hili zege la leo kwakweli nilikua nimejipata 😂Wew ndio upo dunian sas 😂
😂😭nikimaliza wiki bila kula zege, kipaja na pepsi huwa nahisi kuishiwa dam 😭 natamani niache maana natokewa na kitambi
Na vile ni kiziwi... Hapo mkuu utahisi kama unaskia 😂Kwa hili zege la leo kwakweli nilikua nimejipata 😂
We jamaa unajaza server kuleta matakataka,
Samahan mkuu sirudii 😂We jamaa unajaza server kuleta matakataka,
Hamna chakula popote umeweka.
Embu baki huko huko na vitu vya wamama.