makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,444
😂😂😂😭😭🙌🏻Na vile ni kiziwi... Hapo mkuu utahisi kama unaskia 😂
#Joke
duh ulijitahidi mnoooo, sa kipindi chote hicho ulikua unakula nini😄😂😭
Mi nilifanikiwa kama wiki 2 hivi, nimerudi mzigoni tena.
Yaani.duh ulijitahidi mnoooo, sa kipindi chote hicho ulikua unakula nini😄
mbona sioni limao,, chakula kisafi mno😍Rayns unapenda sana samaki View attachment 3634460
mi ndizi sijawahi kuzielewa kabisa mara nyingi nikila zinaniletea kiungulia, myfvrt ni pilau, mihogo ya kuchemsha, magimbi na ugali dagaa,,Yaani.
nakula kula tu tuvitu vitu. ugali, wali, pilau, ndizi my favorite ndizi za moshi, mihogo, viazi lishe nimekula sana na kuku choma, salads za kiswahili basi….
Pembeni hapo kuna kila kitu.mbona sioni limao,, chakula kisafi mno😍
Bila shaka huyu ni mduduSTaftahi
sameja jana umelewa sana eeh haujui kuona hata paja la kuku jamni😅Bila shaka huyu ni mdudu
Nipo kwenye mwendokasi now naenda kijichi Sasa sikuangalia vizuri 😊sameja jana umelewa sana eeh haujui kuona hata paja la kuku jamni😅
Bila shaka huyu ni mdudu
ahaa hapo sawa samej,, ufike salamaNipo kwenye mwendokasi now naenda kijichi Sasa sikuangalia vizuri 😊
Natania mkuu, mweupeee kwa masheheee😊😀Naona unamlisha Shehe kitu au sio 😂?