Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,663
Uko ndo nilipozaliwa hunambii kitu kwenye hyo mboga[emoji39]Dagaa nawapenda sana kula na ugali ila nao pia siwatumii sana
Chakula ninachokula sana ni wali maharagwe yenye nazi
Credit: JIKONI KWETU