ugali laaaiiiiiini hapo kisamvu kimekosa karanga tu


ugali laaaiiiiiini hapo kisamvu kimekosa karanga tu![]()
Lakini kiliungwa vizuri.Nimecheka sana

Kiongozi hapa umeupiga mwingi.
Hii mixer sio ya kitoto,ukitoka kupiga hii lazima utafute sehemu yenye kiubaridi kidogo upumzike ili ngoma isagike vizuri...