HeheeMpo wangapi?
Single bossSawa chiefHeheeSingle boss
Hpo ukipata na kaugali kadogo
Nimekula hivyo hivyo na nimetosha na nishaondoka nipo barabaranHpo ukipata na kaugali kadogo
Yes ni nzuri pia ukipata na home made juiceNimekula hivyo hivyo na nimetosha na nishaondoka nipo barabaran
Mboga za kutosha.
Nafaidi wapi kaka na sijaoa...Huu msosi ata nile mwaka haunikifu Ndege Tai unafaidi sana location uliyopo
Credit😡Jikoni KWETU View attachment 2509658
Nafaidi wapi kaka na sijaoa...
Npo mwanza ila samaki namla kwa mwez mara 3 nikila sana

unaniangusha ata dagaa hao unawashindwa?Dagaa nawapenda sana kula na ugali ila nao pia siwatumii sanaunaniangusha ata dagaa hao unawashindwa?